Matangazo na Vituko


Kwa kuwa nimepata taarifa kwamba hujawahi kuona trekta iliyoanguka toka kuzaliwa kwako, leo asubuhi tumebahatika kuona ajabu hili la karne, Trekta imeanguka katika makutano ya barabara kuu ya Dar-Ar na Barabara ya Kuelekea Lutheran, Zamani Caltex hapa Manundu Korogwe.

No comments:

Post a Comment